Pata Mfuko wa Chokaa ya Best katika maduk ya hardware
Pata Mfuko wa Chokaa ya Best katika maduk ya hardware yaliopo mbalizi,mbeya
Pata mfuko wa chokaaya best katika duka la Hardware lililo karib yako kwa bei nafuu kabisa kwa shillingi elfu 5000/= tuu
Pia order tunapokea kwa bei nafuu kiwanda kipo iwara,mbalizi-Mbeya
Kiwanda cha Best White Lime kinapatikana kwenye njia ya kwenda karibu na shule ya mbalizi seminary kilometer 3 kutoka mbalizi njia ya kwenda tunduma
Na cement mnauzaje beii
ReplyDelete